1- Jina la jumuia hii ni ARTS OF LIFE AND AIDS PROHIBETION
2- Mtazamo - chama cha kupambana na maambukizi ya VVU na UKIMWI.
3- Ufupisho wa jumuia ni wa herufi nne (4)ALAP
4- Makao makuuya jumuia hii yapo JIJINI - MBEYA
5- Anuani ya jumuia hii ni: S.L.P 2190.MBEYA -TANZANIA
6- Barua pepe (Email: artsoflife50@yahoo.com
7 Simu No: +255762994851, 255756892234, 255659920737
No comments:
Post a Comment