UMOJA ARTS GROUP
Friday, 21 March 2014
MBEYA UMOJA ARTS GROUP
KUNDI LA UMOJA ARTS GROUP
Lilianzishwa rasmi tar.10/10/2003
Filamu zilizoko sokoni
1.Rafiki msaliti
2.Pole moyo wangu
3. Mwinga
Filamu tunayo tarajia kuingiza sokoni ni filamu inayo kwenda kwa jina la "No time to love "
Sunday, 4 August 2013
ARTS OF LIFE AND AIDS PROHIBETION
1- Jina la jumuia hii ni ARTS OF LIFE AND AIDS PROHIBETION
2- Mtazamo - chama cha kupambana na maambukizi ya VVU na UKIMWI.
3- Ufupisho wa jumuia ni wa herufi nne (4)ALAP
4- Makao makuuya jumuia hii yapo JIJINI - MBEYA
5- Anuani ya jumuia hii ni: S.L.P 2190.MBEYA -TANZANIA
6- Barua pepe (Email: artsoflife50@yahoo.com
7 Simu No: +255762994851, 255756892234, 255659920737
UMOJA WA WACHEZA FILAMU MBEYA
UMOJA ARTS GROUP,Pia wamo katika UMOJA WA
WA WACHEZA FILAMU MBEYA:
UMOJA WA WACHEZA FILAMU MBEYA
(UWF-MBEYA
S.L.P 149
MBEYA-TANZANIA:
KAULI MBIU KATIKA UMOJA HUU NI:-
Taa,Sauti na Vitendo ndio nguzo ya mshikamano wetu.
Thursday, 4 July 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)
